IQNA-Mkuu wa Mamlaka ya Kitaifa ya Vyombo vya Habari ya Misri ametangaza mipango ya kuzindua Jumba la Makumbusho ya Wasomaji wa Qur'ani nchini humo.
Habari ID: 3480765 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/31
IQNA – Jumba la Kitaifa la Makumbusho la Sanaa la Isfahan, lililozinduliwa mnamo Februari 2022, liko ndani ya jengo la kihistoria kutoka enzi ya mwisho ya utawala wa Qajar.
Habari ID: 3480720 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/21
Turathi
IQNA-Maktaba ya Umma ya Mfalme Abdulaziz (KAPL) mjini Riyadh, Saudi Arabia, inahifadhi nakala 400 adimu za MIsahafu kutoka zama mbalimbali za Kiislamu ambapo nyingi ni za kati ya karne ya 10 hadi 13 Hijria.
Habari ID: 3480524 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/11
Turathi
IQNA – Jumba la Makumbusho la Nuru na Amani, lililozinduliwa hivi karibuni katika Msikiti Mkuu wa Sheikh Zayed wa Abu Dhabi nchini UAE, linaonyesha turathi za Kiislamu na sanaa adimu za Qur’ani.
Habari ID: 3479799 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/24
Utamaduni
IQNA – Jumba la Makumbusho ya Qur'ani la "Bait Al-Hamd" limezinduliwa nchini Kuwait kwa lengo la kukuza Qur'ani Tukufu na maarifa ya Kiislamu.
Habari ID: 3478451 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/04
Turathi za Kiislamu
MAKKA (IQNA) - Maktaba ya Msikiti Mkuu wa Makka nchini Saudi Arabia inaonyesha Misahafu (Nakala za Qur'ani) ya kipekee ya kale na pia michoro ambayo ina aya za Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3477252 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/07/08
Turathi za Kiislamu
TEHRAN (IQNA) – Jumba la Makumbusho la Benaki huko Ugiriki lina mkusanyiko wa kazi za sanaa zilizokusanywa zaidi ya karne 13, nyingi zikiwa na umuhimu maalum.
Habari ID: 3475501 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/14
KARBALA (IQNA)- Jumba la Makumbusho la Haram ya Imam Hussein AS katika mji wa Karbala limefunguliwa.
Habari ID: 3474481 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/27